Naam!Mtu hawezi kukumbatia Katiba usiku wa manane-Maneno ya Bw Harusi haya |
Swagger hadi Church.. |
Mdogo wangu Mayunga wa Breakthrough Business Support na mkazi mwenza wa Chuo cha Mafunzo |
Braza Richard Kasesela Mzee wa Kanisa |
Hapa sina comment..CHADEMA uso kwa uso na CCM |
Mahubiri |
Maharusi wakifwatilia mahubiri kwa makini..lakini shemeji aliistukia camera yangu |
Mr and Mrs Alex Mayunga |
Kulia:Shemeji Steven Kolimba akipokea upako wa neno |
Kaka Amathe akila neno |
Mr and Mrs Dan Welwel |
Mr and Mrs Elia Yobu(MAYO Insurance Brokers) katika sala nzito |
Mark Okello na Mike Dalali wakibubujika kwa Bwana |
Mimi na Maiwaifu wangu wazee wa Upako |
Dada Dr.Subi akifungua Neno |
Dada Rose akikamua Neno |
No comments:
Post a Comment