| Neno |
| Baba Askofu Dr.Alex Malasusa |
| Baba Mkwe Mzee Senyagwa (RTD MP) |
| Ukawadia wakati wa 'I DO' |
| I DO |
| Eric akamtundika Mwende pingu |
| Mwende akajibu mapigo..Pingu kadaaaaa |
| Baba Mzee Ongara |
| Mama Ongara....alitokelezeaaajeeee..Big up! |
| Neno la Nasaha toka kwa Baba Askofu..Baraka iliyoje |
| Vyeti vya uthibitisho wa kujiunga chama la wastaarabu |
| Ndoaaaz Pawaaaaa.. |
| Wakwe Mr&Mrs Senyagwa |
| Kwa Upendo wa Mungu familia zikaungana |
| Watu weweweee...kachukua kaweka waaaa |
| Taxedo ya Bw Harusi si ya kitoto....str8 from Obamaland |
| Taaaabasaaaam nipate furahaaaaa |
| Matron wa ukwe-e |
| Best Man anaonekana full Busara za kiparoko |
| Nani kasema Mpiga Picha hatokei...weeee na mimi nikatia swagger la upendeleo |
| The ONGARA's na hapo hawajatimia |
| Kamati ya Vinywaji ikiongozwa na Shem Steve Kagaruki wa kwanza kushoto |
| White Sands palipambika |
| Swadaktaaaaa....Kesho ntakuletea Burudani ya Ukumbini.. |
No comments:
Post a Comment