Monday, June 11, 2012

Eric na Mwende wameremeta

Chezeya Mwendece wewe...Mlangoni mwa Kanisa akisubiri kupokelewa na Babu

Babu akiingia na waifu wake kwenda kumkabidhi kwa Eric

swagger za OLD BOY

Kushoto kitu Double O(Eric) akisubiria kukabidhiwa

Piiiipooooz..Pawaaaa

Kama kwenye movie mwanawani

Makabidhiano rasmi

No comments:

Post a Comment