Thursday, November 29, 2012
Tuesday, November 27, 2012
KWIKWI
Tuna-experience kwikwi ya ku-upload mafoto mapya...Tafadhali endelea kuwa mpole wakati nashughulikia kimeo hiki
Monday, October 22, 2012
BRIDAL SHOWER YA MAMAA ACKSAR
| Wadau walitokelezea |
| Mashosti wakamleta Mtarajiwa Uwanjani apewe somo |
| Mwanamke Mashosti babu eee |
| Mtarajiwa na waalikwa waka-pop ma-shampeeeeen |
| Cheeeers! |
| Bibiye akisikiliza Ujumbe kwa makini |
| Kata keeekii tuuuleee |
| Keki ya Kuuaga useja |
| Zawaaaaadiiii |
| Picha la pamoja na kamati |
| MC Bina almaarufu maeneo ya Kibaha alisherehesha |
| Matron Flora wa Airtel |
TULIPOIKARIBISHA NIKON MJENGONI
Tulipoikaribisha NIKON kwenye GEN family
| Testing Shutter speed....perfecto! |
| Testing Color depth....Nikon ni noma |
| Testing close-up....naomba nitambue Copyright-picha hii imepigwa na Wife |
| Noise reduction in high ISO... |
| Nikon hapa imetoa ngoma droo na Canon |
| Colour Separation |
| Testing Mirror reflection |
Shukran kwa Model wetu Sarah(lol) na Mie mwenyewe Model msaidizi...Sasa Canon imepata Msaidizi kama sio mpinzani..
Monday, October 1, 2012
AIRTEL CUSTOMER CARE WEEK
| Wadau wa Customer Service wakifurahia Uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja |
| Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Bi.Adriana Lyamba akihutubia |
| Wadau wakifuatilia Uzinduzi |
| Meneja wa Huduma kwa Wateja Gabriel Kamukara akielezea Mikakati ya Kitengo katika Wiki hii na kuendelea |
| Airtel Executive Committee Members |
| Wafanyakazi wa vitengo vyote wakifuatilia Uzinduzi |
| Na mimi nimo |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw.Sam Ellangaloor akihutubia |
| Sam akimzawadia Menejea wa Huduma kwa Wateja Godfrey kwa kazi nzuri |
| Kikosi kazi cha Huduma kwa wateja katika picha ya pamoja |
| Senior Management Team ya Customer Service |
| "I am the One" kukupatia huduma bora |
| Na mimi nikatokelezea swagger |
| Star TV wakifanya mahojiano na Customer Service Director |
| Mteja wa Airtel akitoa ushuhuda |
| Kikosi cha Huduma kwa Wateja kikiwa Mtaani kwako kukuhudumia |
| Mtaa kwa Mtaa |
| Nyumba kwa Nyumba |
| Gari kwa Gari |
| Mteja kwa Mteja anapatiwa huduma |
| Bosi wa Huduma kwa Wateja Adriana akiwa na wasaidizi wake wakitoa huduma kwa Mteja |
| Adriana akimuelewesha mteja namna ya kubadili Airtel Money password |
| Managing Director-Sam |
| Wadau |
| Airtel Departments mbalimbali |
| Keki maalum kwa wateja |
| Mteja kila ze keki kwenye Duka la Airtel Morocco |
| Mteja akimlisha Bosi Adriana keki |
| Nasi tuionje |
| Kapteeeeeeeni |
| Adriana akigawa vipeperushi barabarani....very nice one |
| Shemeji Ally a.k.a Kally nae aliacha ofisi kwa muda |
| na mimi sikuwa nyuma |
| Nikapiga Training gari kwa Gari |
Subscribe to:
Posts (Atom)