| Wadau walitokelezea |
| Mashosti wakamleta Mtarajiwa Uwanjani apewe somo |
| Mwanamke Mashosti babu eee |
| Mtarajiwa na waalikwa waka-pop ma-shampeeeeen |
| Cheeeers! |
| Bibiye akisikiliza Ujumbe kwa makini |
| Kata keeekii tuuuleee |
| Keki ya Kuuaga useja |
| Zawaaaaadiiii |
| Picha la pamoja na kamati |
| MC Bina almaarufu maeneo ya Kibaha alisherehesha |
| Matron Flora wa Airtel |
No comments:
Post a Comment