Wadau wa Customer Service wakifurahia Uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja |
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Bi.Adriana Lyamba akihutubia |
Wadau wakifuatilia Uzinduzi |
Meneja wa Huduma kwa Wateja Gabriel Kamukara akielezea Mikakati ya Kitengo katika Wiki hii na kuendelea |
Airtel Executive Committee Members |
Wafanyakazi wa vitengo vyote wakifuatilia Uzinduzi |
Na mimi nimo |
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw.Sam Ellangaloor akihutubia |
Sam akimzawadia Menejea wa Huduma kwa Wateja Godfrey kwa kazi nzuri |
Kikosi kazi cha Huduma kwa wateja katika picha ya pamoja |
Senior Management Team ya Customer Service |
"I am the One" kukupatia huduma bora |
Na mimi nikatokelezea swagger |
Star TV wakifanya mahojiano na Customer Service Director |
Mteja wa Airtel akitoa ushuhuda |
Kikosi cha Huduma kwa Wateja kikiwa Mtaani kwako kukuhudumia |
Mtaa kwa Mtaa |
Nyumba kwa Nyumba |
Gari kwa Gari |
Mteja kwa Mteja anapatiwa huduma |
Bosi wa Huduma kwa Wateja Adriana akiwa na wasaidizi wake wakitoa huduma kwa Mteja |
Adriana akimuelewesha mteja namna ya kubadili Airtel Money password |
Managing Director-Sam |
Wadau |
Airtel Departments mbalimbali |
Keki maalum kwa wateja |
Mteja kila ze keki kwenye Duka la Airtel Morocco |
Mteja akimlisha Bosi Adriana keki |
Nasi tuionje |
Kapteeeeeeeni |
Adriana akigawa vipeperushi barabarani....very nice one |
Shemeji Ally a.k.a Kally nae aliacha ofisi kwa muda |
na mimi sikuwa nyuma |
Nikapiga Training gari kwa Gari |
No comments:
Post a Comment