| Events Lab walipamba vilivyo |
| Ma-Profesa wa baadae wakimleta mgeni Rasmi |
| Mkurugenzi Mama Rweyimamu na Mgeni rasmi |
| Mshereheshaji Ndugu yangu Alex Mayunga-CEO wa Breakthrough Business Support |
| Na kazi ianze |
| Mwenyekiti wa Bodi |
| Mgeni rasmi Baba Askofu Dr.Alex Malasusa akabariki tukio kwa kulikabidhi mikononi mwa Bwana |
| Watoto hawa wana vipawa vya hali ya juu..Tuliburudika |
| Neno toka EDUCATE The Children Scholarship Fund~Kaka Deus |
| Baba Askofu akinadi picha ya Mkurugenzi wa St.Joseph's Nursery and primary School |
| Mpambano wa kugombania picha unaendelea |
| Mimi Na Deus tulinunua hii keki kwa 200,000/= na kumpa zawadi mgeni Rasmi |
| Mgeni Rasmi nae akaitoa zawadi kwa washiriki wote. |
| Mwenyekiti wa Bodi ya St.Joseph's akinadi picha ya Baba Askofu |
| Mnada bin mnadani |
| Baba Askofu akikata keki tulimnunulia(mimi na Deus) ili wote washiriki mkate |