Events Lab walipamba vilivyo |
Ma-Profesa wa baadae wakimleta mgeni Rasmi |
Mkurugenzi Mama Rweyimamu na Mgeni rasmi |
Mshereheshaji Ndugu yangu Alex Mayunga-CEO wa Breakthrough Business Support |
Na kazi ianze |
Mwenyekiti wa Bodi |
Mgeni rasmi Baba Askofu Dr.Alex Malasusa akabariki tukio kwa kulikabidhi mikononi mwa Bwana |
Watoto hawa wana vipawa vya hali ya juu..Tuliburudika |
Neno toka EDUCATE The Children Scholarship Fund~Kaka Deus |
Baba Askofu akinadi picha ya Mkurugenzi wa St.Joseph's Nursery and primary School |
Mpambano wa kugombania picha unaendelea |
Mimi Na Deus tulinunua hii keki kwa 200,000/= na kumpa zawadi mgeni Rasmi |
Mgeni Rasmi nae akaitoa zawadi kwa washiriki wote. |
Mwenyekiti wa Bodi ya St.Joseph's akinadi picha ya Baba Askofu |
Mnada bin mnadani |
Baba Askofu akikata keki tulimnunulia(mimi na Deus) ili wote washiriki mkate |
No comments:
Post a Comment