Monday, October 22, 2012

Tulipoikaribisha NIKON kwenye GEN family

Testing Shutter speed....perfecto!

Testing Color depth....Nikon ni noma

Testing close-up....naomba nitambue Copyright-picha hii imepigwa na Wife

Noise reduction in high ISO...

Nikon hapa imetoa ngoma droo na Canon

Colour Separation


Testing Mirror reflection
Shukran kwa Model wetu Sarah(lol) na Mie mwenyewe Model msaidizi...Sasa Canon imepata Msaidizi kama sio mpinzani..

No comments:

Post a Comment