Monday, June 11, 2012

PINGU za ERIC na MWENDE

Mke wangu na mimi(sipo pichani kwa matatizo ya kiufundi) mara baada ya kuwasili Kanisani K'nyama

Hapa ndipo pingu zilipofungiwa...KKKT Kijitonyama uwanja wa nyumbani

Viongozi wastaafu wa TYVA shoto-kulia Dan,Suma na Michael..kushoto kwa Dan ni maiwaifu wake

Mdogo wetu Michael Dalali naona ametokelezea utasema ndo Bw.Harusi..Inshallah natumai mambo yananukia kwake pia

Msafara wa kuingia kufunga Pingu...Kamanda Eric akiongozana na Mke wetu Mwende

Flowers wa ukweli...Girls only...

No comments:

Post a Comment