Saturday, June 16, 2012

MATILDA's NITE

Usikivu

Zawadi ya kigoda..shurti ukikalie hapo hapo

MATILDA's NITE

Mtarajiwa
Matron wa uhakika


MATILDA's NITE

 Nice

Asili yetu Ngomaa Bongo fleva mbwembwe tu

MATILDA'S NITE

 Dunken Mikocheni wazee wa Lotus Creaives walipatokelezeshaaa

 Swadaktaa

 Matron akiwa makini kabisa

 Mamaa Matilda,Maty a.k.a Tilda akiingia kwa ukumbi

 Wametokelezeeeaaaa

 Nice deco

 Testing the makochiz

Bi Harusi Mtarajiwa Matilda akimwaga tabasam mbele ya kamera yetu isiyopitwa na jambo...Hongera Tilda ulipendeza sana.

Monday, June 11, 2012

JAMHURI YA MUUNGANO WA MALAVI DAVI YA ERIC NA MWENDE

Neno

Baba Askofu Dr.Alex Malasusa

Baba Mkwe Mzee Senyagwa (RTD MP)

Ukawadia wakati wa 'I DO'

I DO

Eric akamtundika Mwende pingu

Mwende akajibu mapigo..Pingu kadaaaaa

Baba Mzee Ongara

Mama Ongara....alitokelezeaaajeeee..Big up!

Neno la Nasaha toka kwa Baba Askofu..Baraka iliyoje

Vyeti vya uthibitisho wa kujiunga chama la wastaarabu

Ndoaaaz Pawaaaaa..

Wakwe Mr&Mrs Senyagwa

Kwa Upendo wa Mungu familia zikaungana

Watu weweweee...kachukua kaweka waaaa

Taxedo ya Bw Harusi si ya kitoto....str8 from Obamaland

Taaaabasaaaam nipate furahaaaaa

Matron wa ukwe-e

Best Man anaonekana full Busara za kiparoko

Nani kasema Mpiga Picha hatokei...weeee na mimi nikatia swagger la upendeleo

The ONGARA's na hapo hawajatimia

Kamati ya Vinywaji ikiongozwa na Shem Steve Kagaruki wa kwanza kushoto

White Sands palipambika

Swadaktaaaaa....Kesho ntakuletea Burudani ya Ukumbini..

PINGU ZA ERIC NA MWENDE

Naam!Mtu hawezi kukumbatia Katiba usiku wa manane-Maneno ya Bw Harusi haya

Swagger hadi Church..

Mdogo wangu Mayunga wa Breakthrough Business Support na mkazi mwenza wa Chuo cha Mafunzo

Braza Richard Kasesela Mzee wa Kanisa
Hapa sina comment..CHADEMA uso kwa uso na CCM

Mahubiri

Maharusi wakifwatilia mahubiri kwa makini..lakini shemeji aliistukia camera yangu

Mr and Mrs Alex Mayunga

Kulia:Shemeji Steven Kolimba akipokea upako wa neno

Kaka Amathe akila neno
Mr and Mrs Dan Welwel

Mr and Mrs Elia Yobu(MAYO Insurance Brokers) katika sala nzito

Mark Okello na Mike Dalali wakibubujika kwa Bwana

Mimi na Maiwaifu wangu wazee wa Upako

Dada Dr.Subi akifungua Neno

Dada Rose akikamua Neno