Thursday, November 29, 2012
Tuesday, November 27, 2012
KWIKWI
Tuna-experience kwikwi ya ku-upload mafoto mapya...Tafadhali endelea kuwa mpole wakati nashughulikia kimeo hiki
Monday, October 22, 2012
BRIDAL SHOWER YA MAMAA ACKSAR
Wadau walitokelezea |
Mashosti wakamleta Mtarajiwa Uwanjani apewe somo |
Mwanamke Mashosti babu eee |
Mtarajiwa na waalikwa waka-pop ma-shampeeeeen |
Cheeeers! |
Bibiye akisikiliza Ujumbe kwa makini |
Kata keeekii tuuuleee |
Keki ya Kuuaga useja |
Zawaaaaadiiii |
Picha la pamoja na kamati |
MC Bina almaarufu maeneo ya Kibaha alisherehesha |
Matron Flora wa Airtel |
TULIPOIKARIBISHA NIKON MJENGONI
Tulipoikaribisha NIKON kwenye GEN family
Testing Shutter speed....perfecto! |
Testing Color depth....Nikon ni noma |
Testing close-up....naomba nitambue Copyright-picha hii imepigwa na Wife |
Noise reduction in high ISO... |
Nikon hapa imetoa ngoma droo na Canon |
Colour Separation |
Testing Mirror reflection |
Shukran kwa Model wetu Sarah(lol) na Mie mwenyewe Model msaidizi...Sasa Canon imepata Msaidizi kama sio mpinzani..
Monday, October 1, 2012
AIRTEL CUSTOMER CARE WEEK
Wadau wa Customer Service wakifurahia Uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja |
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Bi.Adriana Lyamba akihutubia |
Wadau wakifuatilia Uzinduzi |
Meneja wa Huduma kwa Wateja Gabriel Kamukara akielezea Mikakati ya Kitengo katika Wiki hii na kuendelea |
Airtel Executive Committee Members |
Wafanyakazi wa vitengo vyote wakifuatilia Uzinduzi |
Na mimi nimo |
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw.Sam Ellangaloor akihutubia |
Sam akimzawadia Menejea wa Huduma kwa Wateja Godfrey kwa kazi nzuri |
Kikosi kazi cha Huduma kwa wateja katika picha ya pamoja |
Senior Management Team ya Customer Service |
"I am the One" kukupatia huduma bora |
Na mimi nikatokelezea swagger |
Star TV wakifanya mahojiano na Customer Service Director |
Mteja wa Airtel akitoa ushuhuda |
Kikosi cha Huduma kwa Wateja kikiwa Mtaani kwako kukuhudumia |
Mtaa kwa Mtaa |
Nyumba kwa Nyumba |
Gari kwa Gari |
Mteja kwa Mteja anapatiwa huduma |
Bosi wa Huduma kwa Wateja Adriana akiwa na wasaidizi wake wakitoa huduma kwa Mteja |
Adriana akimuelewesha mteja namna ya kubadili Airtel Money password |
Managing Director-Sam |
Wadau |
Airtel Departments mbalimbali |
Keki maalum kwa wateja |
Mteja kila ze keki kwenye Duka la Airtel Morocco |
Mteja akimlisha Bosi Adriana keki |
Nasi tuionje |
Kapteeeeeeeni |
Adriana akigawa vipeperushi barabarani....very nice one |
Shemeji Ally a.k.a Kally nae aliacha ofisi kwa muda |
na mimi sikuwa nyuma |
Nikapiga Training gari kwa Gari |
Subscribe to:
Posts (Atom)