Thursday, May 3, 2012

KIBARABARA NA HUMAYDA


Mr&Mrs Mubarak Kibarabara(KB Electronics lazma irejeee)


Da First Dance


Tugonge glass for long life beeeeebii


Kata Keeekiii tuuuleee


Wazee wa Airtel Mjengoni hoyeee

 Wadau wa Airtel Mjengoni wakitoa sapoti kwa mwenzao KIBBS



Ma-Gentlemen wa uzito wa juu,Huyo wa pili Kushoto alisimamia Harusi yangu(Elly) pia

Flowers wa ukweli..Huyo wa Kwanza kushoto alisimamia Harusi yangu(Elly) pia


Humayda siku ya Akkdi (Ndoa sijui nimechapia)

Kiba hatimaye akaenda kum-pick Bibiye Humayda

2 comments:

  1. m/mungu awajaalie mukastahamiliane kwa kila muda, muda wa furaha muwe pamoja na wa shida pia muepamoja

    ReplyDelete