Bi Harusi..shemeji Romana...pendeza mnoo
Wapambe wakitoa sapoti ya swaga...
Romantic Romana
A family that Prays together...stays together...hapa wakifatilia Neno kabla ya Kiapo
Mke mwema anatoka kwa Bwana
Mvuto...Hongereni..kwa Mvuto nawapa A
Tusha-seal deal
Best Man Renny akitoa sapoti la uhakika
Kwa Neema..tunaingia kwa Neema...Lamada palichimbika
Flower Girl makini kikazi zaidi
Matron maridadi...amependezaaajee
Best Man naye hakuwa wa kubabaisha...
| Mwanamke anayejua Majukumu yake...Pendezesha Baba |
| "Taaaabasam nipate furahaaaaa"Costa Singing |
Hongereni sana Costa na Romana...Harusi ilifana sana na mlipendeza pasi na mfano...Mungu awajaalie maisha yenu yapendeze hivi hivi milele...
No comments:
Post a Comment