Wednesday, May 16, 2012

TAFRIJA YA BEN NA ZAY

Bi Harusi(kushoto) na Matron
 Hongera Ben na Zay

 Matron wa Ukwe-e

 Chezeyaa

 Bi.Zay amejaaliwa Pooozi

 Mashosti wakipeana kampani

 Ngoma uwanjani..taaabasaaaam

 Tugonge mvinyo kwa maisha ya rahaa mustaree

 Kwa Afya njema cheeeers

 Ben ni Zay na Zay ni Ben Mustareheee...

 Flower

 Flower

 Best Man kikazi zaidi

 Mwaka Arobaini na saabaaaaa...picha ingetoka ivi

 Kata kekii tuuuleeee

 Je Je Je Je Je Una swali jingineeeeee??

 Nisicheze Kwaito...weeee

 Toka Bondeni kwa Madiba

 Mama Mzaa chema

 Princess palipambwa pakapambika

Mambo ya Mwantum Hair Dressing hayo


Monday, May 7, 2012

COSTANTINE & ROMANA

Bi Harusi..shemeji Romana...pendeza mnoo

Wapambe wakitoa sapoti ya swaga...

Romantic Romana


A family that Prays together...stays together...hapa wakifatilia Neno kabla ya Kiapo

Mke mwema anatoka kwa Bwana


Mvuto...Hongereni..kwa Mvuto nawapa A


Tusha-seal deal

Best Man Renny akitoa sapoti la uhakika

Kwa Neema..tunaingia kwa Neema...Lamada palichimbika

Flower Girl makini kikazi zaidi

Matron maridadi...amependezaaajee

Best Man naye hakuwa wa kubabaisha...

Mwanamke anayejua Majukumu yake...Pendezesha Baba 
"Taaaabasam nipate furahaaaaa"Costa Singing



Hongereni sana Costa na Romana...Harusi ilifana sana na mlipendeza pasi na mfano...Mungu awajaalie maisha yenu yapendeze hivi hivi milele...

COSTA & ROMANA...UPDATING SOON


Hakika Mmependezana..Big up..

MNUSO WA BRAZA JOHN MASIRIWA II

 Home Boy akijiandaa kwa pingu


 Bwana Harusi Mdogo

 Mpambe wa Bwana Harusi Mdogo

 Bi Harusi Mdogo,cheki swagga division one hilo

 Mpambe wa Bi Harusi Mdogo

 Chezeya Matron wewe


 Deal Done....watu alululululuuuuuuuu....Dada huyooo ameoleeewaaa

 Kwa Uhakika zaidi...

 Enhe una jingine??

 
 Familia takatifu..cheki shela hilo

 Mahaba ya dhaaaati...yamenifikiiiiaaa..

 Yalaiiitiiii...napenda pasi kifani

 Easy to carry...Kaka una msuli..

 Kwa Uhuru zaidi

 Tight verse to a tight beat..love is hiphop

 Sema na shela hilo...mchicha sana

 Need I say more??

Mungu awabariki sana wadau kwa hatua hii mlofikia...