| Getrude aki-warm up mapozi kabla ya tukio |
| Hapo Je!? |
| Marhabaaaa.... |
| If you are happy and you Know it...Pendeza Getrude |
| Baada ya kutandikana Pingu,,,Hongera kaka Shiraz(Mutu ya watu) |
| Familia Bora |
| Swaga la shela...wacha wee |
| Wakiwa Eden...kama Adam na Hawa(Eva) |
| Pozi la Hakuna Matata |
| Simply Romantic |
| Baba Mwenye Nyumba |
| Tabasam la mahabat |
| Kampani la maana toka kwa Msafara wa Maharusi |
| Wapambe walopambika |
| Tukambeba mke wetu |
| Wakasema hataaaa...hata sisi tunabeba mme wetu |
| Bi Harusi mdogo katika Poooozi |
| Azontooooo |
| La Familia |
| Karibu kwa Batchu Bi Getrude |
| Bwana Harusi Mdogo nae akijibu swaga |
No comments:
Post a Comment