Thursday, July 5, 2012

UZINDUZI WA EDUCATE THE CHILDREN SCHOLARSHIP FUND

Events Lab walipamba vilivyo
Ma-Profesa wa baadae wakimleta mgeni Rasmi

Mkurugenzi Mama Rweyimamu na Mgeni rasmi

Mshereheshaji Ndugu yangu Alex Mayunga-CEO wa Breakthrough Business Support
Na kazi ianze

Mwenyekiti wa Bodi

Mgeni rasmi Baba Askofu Dr.Alex Malasusa akabariki tukio kwa kulikabidhi mikononi mwa Bwana

Watoto hawa wana vipawa vya hali ya juu..Tuliburudika

Neno toka EDUCATE The Children Scholarship Fund~Kaka Deus

Baba Askofu akinadi picha ya Mkurugenzi wa St.Joseph's Nursery and primary School

Mpambano wa kugombania picha unaendelea

Mimi Na Deus tulinunua hii keki kwa 200,000/= na kumpa zawadi mgeni Rasmi
Mgeni Rasmi nae akaitoa zawadi kwa washiriki wote.

Mwenyekiti wa Bodi ya St.Joseph's akinadi picha ya Baba Askofu

Mnada bin mnadani

Baba Askofu akikata keki tulimnunulia(mimi na Deus) ili wote washiriki mkate