Friday, September 20, 2013

SAMMA FOUNDATION:FAMILY DAY

 Timu yawatukutu wasiovaa sare za SAMMA

 Zoezi murua sana...wanatakiwa kugeuza hiyo carpet bila miguu yao kukanyaga chini

 Hapa jamaa wana zoezi la kujaza maji kwa chupa zilizotoboka

 Majadiliano

 Twende kazi

 Hapo sasaaaaa

 Ukawadia muda wa kuvuta kamba

 Vitambi oyeeeee


 Watoto nao wamo
Haya hayaaaaa

Tuesday, November 27, 2012

KWIKWI

Tuna-experience kwikwi ya ku-upload mafoto mapya...Tafadhali endelea kuwa mpole wakati nashughulikia kimeo hiki

Monday, October 22, 2012

BRIDAL SHOWER YA MAMAA ACKSAR

Wadau walitokelezea

Mashosti wakamleta Mtarajiwa Uwanjani apewe somo

Mwanamke Mashosti babu eee

Mtarajiwa na waalikwa waka-pop ma-shampeeeeen

Cheeeers!
Bibiye akisikiliza Ujumbe kwa makini

Kata keeekii tuuuleee

Keki ya Kuuaga useja

Zawaaaaadiiii

Picha la pamoja na kamati

MC Bina almaarufu maeneo ya Kibaha alisherehesha

Matron Flora wa Airtel

TULIPOIKARIBISHA NIKON MJENGONI

My Brother from Another Mother KIBBs akijitolea usafi ofisini




Thanks Aneth na Kibbs  for volunteering kuwa ma-model wangu..lol!