Friday, March 30, 2012

TV SHOW DEMO

Gillsant 'Babalove' Mlaseko akitesk mitambo
Babalove kazini
Tukifanya Demo ya kipindi cha TV
Mtangazaji Meryce a.k.a Kimora
Nimekuibia kidogo tu habari za chini ya kapeti

Tuesday, March 20, 2012

VITENGE DAY

Vitenge Day imeanzia nyumbani...Hapo waifu akitoa swaga
Amanda na Victoria wadau wa SPANCO
Neema..hapo Je?
Utamwambia nini Naomi 'Campbell' mwenyewe?
Vicky Capiten Kasililika a.k.a Kibox
Chezea Salma wewe..
.....kitu Getrude..
Getrude na Getrude...Double G hizo
Another Getrude
Mamaa Rahma ndani ya poozi
Immaculate...swagatime
Super model Eveline
Killer swagg

UZINDUZI WA AIRTEL DIVAs.

Wadau wa Marketing Airtel
...Dangio mdau wa PR
Advocate Getrude Mpangile(kushoto) nae alikuwepo
Washereheshaji Sophia na Da Doris
Meneja wa Retention Aneth akitoa swaga na Corporate Executive Eugenia
Wadau
Wadau,kushoto ni High End Manager Hilda Nakajumo

Monday, March 19, 2012

Wednesday, March 7, 2012

UZINDUZI WA AIRTEL SERVICE ACADEMIE(ASA)

Nikitoa neno la ukaribisho katika uzinduzi wa Airtel Service Academie

Nasisitiza na kupongeza Airtel kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu

Customer Service Director-Adriana Lyamba akisisitiza "tumedhamiria kutoa huduma ya hali ya juu kwa wateja wetu"

Mkurugenzi wa Rasilimali watu-Perece
----------------------------------------------------------------------------------------------
Leo tulikuwa na kazi ya Airtel...Kudodosa kidogo tu ni kwamba Airtel imezindua Airtel Service Academie ambayo ni program maalum na ya muda mrefu ya mafunzo kwa wafanyakazi wa kitengo cha huduma kwa wateja lengo likiwa ni kuwawezesha kutoa huduma ya kiwango cha kimataifa kwa wateja wa Airtel

UZINDUZI WA AIRTEL SERVICE ACADEMIE(ASA)

Dada Adriana Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja akitoa hotuba yake

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sam akisisitiza umuhimu wa Academie hii ya kipekee kwa wafanyakazi wa Airtel kitengo cha Huduma kwa Wateja

Sam akisisitiza Jambo
Wadau watakaokuwa wa kwanza kukamata Nondoz katika Academie hii ili kuboresha zaidi na zaidi huduma kwa wateja

Pozi