Tuesday, February 28, 2012

POZI LA MDAU

Neema(Ney) mdau wangu wa karibu sana nae alikomaa mpaka akahakikisha anaweka swaga mbele ya Kamera yetu...

Monday, February 27, 2012

ZZK...ZANA ZA KAZI...






Mashine Sony Z7....balaa picha zinatoka kwaliti endi klia kama nini sijui


Sunday, February 26, 2012

CHEKO LAKOOO..

Da Zena akishusha tabasam

ZE WADAUUUUZ

Wadau wetu wa SPANCO RAPS wakipozi kwa foto...Kushoto to Kulia:Zena,Gano na Fatush the Don

Mdau wetu wa SASATEL mzee mzima Mbeshi alipopita mjengoni kwake kwa zamani Morocco.Jamaa alikuwaga Airtel zamani



ZZK...ZANA ZA KAZI...






Moja ya zana muhimu ya kazi...Mashine hii ni Canon Mark II D5 still camera...ikiwa kwenye mikono yangu ilobarikiwa kipawa cha kuchukua taswira inatenda maajabu...Hii kitu inagonga hadi Video kwa kwaliti ya Juu sana..





Friday, February 24, 2012

Saturday, February 11, 2012

SEND-OFF YA HELLEN DALALI ILIVYOFANA

Bwana Harusi Mtarajiwa Steven Kagaruki aki-feel at home na mswitii wake Ze family foto


Familia ya Dalali pamoja


Naam...familia takatifu ikihesabu masaa kabla ya kwenda kusema...I DO...


Mdogo wa Hellen na Mziwanda wa familia Michael Dalali akifuatilia tukio kwa makini

Kaka Mkubwa wa Hellen,Mpambanaji John Mnyika(MB) akiwa haamini amini kama sista ndo atooonga atooongaa.


Dadii Mzee John Dalali akiwa katika pozi



Mama Dalali akimwaga Nasaha kwa bintiye..Maneno ya busara sana yalitolewa aisee



HONGERA HELLEN 'NANGASU' DALALI...SENDOFF ILIFANA

Anameremeeeeeta
Bi Harusi Mtarajiwa Hellen akiangusha tabasamu maridhawa..pembeni kulia ni Rose shosti na matron wa ukwe-e..