| Naam!Mtu hawezi kukumbatia Katiba usiku wa manane-Maneno ya Bw Harusi haya | 
| Swagger hadi Church.. | 
| Mdogo wangu Mayunga wa Breakthrough Business Support na mkazi mwenza wa Chuo cha Mafunzo | 
| Braza Richard Kasesela Mzee wa Kanisa | 
| Hapa sina comment..CHADEMA uso kwa uso na CCM | 
| Mahubiri | 
| Maharusi wakifwatilia mahubiri kwa makini..lakini shemeji aliistukia camera yangu | 
| Mr and Mrs Alex Mayunga | 
| Kulia:Shemeji Steven Kolimba akipokea upako wa neno | 
| Kaka Amathe akila neno | 
| Mr and Mrs Dan Welwel | 
| Mr and Mrs Elia Yobu(MAYO Insurance Brokers) katika sala nzito | 
| Mark Okello na Mike Dalali wakibubujika kwa Bwana | 
| Mimi na Maiwaifu wangu wazee wa Upako | 
| Dada Dr.Subi akifungua Neno | 
| Dada Rose akikamua Neno | 
No comments:
Post a Comment