| Mke wangu na mimi(sipo pichani kwa matatizo ya kiufundi) mara baada ya kuwasili Kanisani K'nyama | 
| Hapa ndipo pingu zilipofungiwa...KKKT Kijitonyama uwanja wa nyumbani | 
| Viongozi wastaafu wa TYVA shoto-kulia Dan,Suma na Michael..kushoto kwa Dan ni maiwaifu wake | 
| Mdogo wetu Michael Dalali naona ametokelezea utasema ndo Bw.Harusi..Inshallah natumai mambo yananukia kwake pia | 
| Msafara wa kuingia kufunga Pingu...Kamanda Eric akiongozana na Mke wetu Mwende | 
| Flowers wa ukweli...Girls only... | 
No comments:
Post a Comment