Timu yawatukutu wasiovaa sare za SAMMA
 Zoezi murua sana...wanatakiwa kugeuza hiyo carpet bila miguu yao kukanyaga chini
 Hapa jamaa wana zoezi la kujaza maji kwa chupa zilizotoboka
 Majadiliano
 Twende kazi
 Hapo sasaaaaa
 Ukawadia muda wa kuvuta kamba
 Vitambi oyeeeee
 Watoto nao wamo
Haya hayaaaaa 
No comments:
Post a Comment