Mr&Mrs Mubarak Kibarabara(KB Electronics lazma irejeee) 
Da First Dance 
Tugonge glass for long life beeeeebii 
Kata Keeekiii tuuuleee 
Wazee wa Airtel Mjengoni hoyeee 
 Wadau wa Airtel Mjengoni wakitoa sapoti kwa mwenzao KIBBS
Ma-Gentlemen wa uzito wa juu,Huyo wa pili Kushoto alisimamia Harusi yangu(Elly) pia 
Flowers wa ukweli..Huyo wa Kwanza kushoto alisimamia Harusi yangu(Elly) pia 
Humayda siku ya Akkdi (Ndoa sijui nimechapia)
Kiba hatimaye akaenda kum-pick Bibiye Humayda
hongereni maharusi
ReplyDeletem/mungu awajaalie mukastahamiliane kwa kila muda, muda wa furaha muwe pamoja na wa shida pia muepamoja
ReplyDelete