
Bwana Harusi Mtarajiwa Steven Kagaruki aki-feel at home na mswitii wake

Ze family foto

Familia ya Dalali pamoja

Naam...familia takatifu ikihesabu masaa kabla ya kwenda kusema...I DO...

Mdogo wa Hellen na Mziwanda wa familia Michael Dalali akifuatilia tukio kwa makini

Kaka Mkubwa wa Hellen,Mpambanaji John Mnyika(MB) akiwa haamini amini kama sista ndo atooonga atooongaa.

Dadii Mzee John Dalali akiwa katika pozi

Mama Dalali akimwaga Nasaha kwa bintiye..Maneno ya busara sana yalitolewa aisee
No comments:
Post a Comment